Friday, November 9, 2012

YANGA YAPATA KIZAZAAAA TANGA

BASI LA MABINGWA WA SOKA AFRIKA MASHARIKI DAR YOUNG AFRKAN LIMEPASULIWA KIOO LEO HII WAKATI LIKIELEKEA TANGA BAADA WATU WASIO JULIKANA KULILUSHIA MAWE MAENEO YA KABUKU NA KUSABABISHA KIOO KUVUNJIKA KWAMUJIBU WA MTOA TAARIFA NI KWAMBA HAKUNA MTU YOYOTE ALIYE JERUHIWA KATIKA TUKIO HILO NA TEYALI POLISI MKOANI TANGA WANAFANYA UCHUNGUZI KUBAINI NANI ALIYE FANYA TUKIO HILO, TIMU HIYO TEYALI IMEFIKA TANGA NA JIONI HII WANAFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA GYMKHANA KUJIANDAA NA MECHI HIYO DHIDI YA COAST UNION SIKU YA JUMA PILI.

No comments:

Post a Comment