yale mashindano ya kupiga kasia ambayo kila mwaka yanafanyika na kudhaminiwa na TBLsasa kimkoa yanatarajiakufanyika jumamosi 17/11/2012 hii katika fukwe za bwalo la polisi musoma mjini kuanzia saa 2.00 asubuhi barudani na show mbalimbli zita lindima maeneo hayo.
akizungumza na wanahabari meneja masoko wa TBL mkoa wa mara mr polycap amesema kuwa teyali washiliki wamesha jitokeza kujiandikisha kwaajili ya kumtafuta mwakilishi wa mkoa wa mara 2021 pia
amesema kuwa form za kujiandikisha zina patikana ofisini kwake maeneo ya line polisi karibu na safi food.
pia amesema kuwa mnaweza kufika katika mwalo wa mwigobelo kwa pasco matiku ili kupata ufafanuzi zaid
amewaomba kina mama kujitokeza kwani kila mwaka TBL kupitia bia ya balimi extra imekuwa ikiongeza
zawadi ili kubolesha mashindano hayo yanayo kutanisha mikoa ya mwanza,bukoba,mara,kigoma na ukerewe.
No comments:
Post a Comment