abeid pele apewa keki alipo kuwa chamaze baada kuitembelea azam fc na kumbe ilikuwa ni siku yake ya birth day apo anakata keki pembeni ni rais wa tff tenga.
pele akiwa na juma pinto rais wa taswa wakiwa wanaingia uwanja wa taifa katika mchezo wa yanga na azam fc ambapo yanga ilibamiza azam fc mabao 2-0, pele alimsifu sana niyonzima kwa kuwa na kiwango cha juu.
prof milovan baada ya kichapo na mtibwa mambo yatakuwaje jijini mwanza?
No comments:
Post a Comment