Thursday, November 15, 2012

MJUE RICKY ASTREY

ricky astrey akiwa na bintiyake
Richard paul 'ricky astrey' ni mwanamuziki ambaye amezaliwa 6 feb 1966 jijini Newton-he-willow lancashine uk ni mwingeleza na mwandishi wa nyimbo na mwanamuziki pia ameoa mtoto wa producer lene wa uk na kupata mtoto mmoja tu.ameachia na kusambaza zaidi ya nakala milion 40 dunia nzima nyimbo yake ya kwanaza aliachia mwaka 1987 ilifanya vizuri katika nchi 16 duniani wimbo huo unaitwa 'never gonna give you up' na kabla ya hapo alisha fanya korabo na lisa carter wakaachia ngoma moja 'when you go'haukufanya vizuri sana wakati huo.never gonna give you up ulikaa katika chati ya juu takliban wiki 5 balani ulaya baadae ukaja kuwa mwimbo bora wa mwaka huo 1987 pia kuwa highest selling single and it was the first of 13 (woridwide) top 30 hit singles, 1987 album ya 'whenever you need same body' pia ulikamata nafasi ya kwanza nchini england nakuwa wimbo bora uk,katika kava ya juu ya albam hiyo ilikuwa imeandikwa 'when i fall in love' mnamo tarehe 12 march 1988 wimbo wa 'never gonna give you up' pia ukwa mwimbo bora katika chati ya juu marekani na kuwawapili katika mauzo ya mwaka huo akiwa marekani wimbo wake wapili aliuachia tarehe 18 june mwaka huo ni 'together forever', 1989 ukawa nominated kataka tuzo ya grammy wakati wanatafuta best new artist of the year ricky astrey alishindwa katika mchuano huo nakuwa wa pili tuzo ilichukuliwa na mwana dada trancy chapman.
a

No comments:

Post a Comment