kulia ni shomy,dj lima na cales one |
de big bossss mbwambo akitoa maelekezo. |
boti yetu majaji wa mzunguko |
red cross lazima hapo ndoo mpangomzima. |
wanaume wakifukuzia laki tisa. |
mzunguko wa ulikuwa simchezo. |
bwalo la polisi. |
usalama ilikuwa nilazima kwa kila mshiliki kuvaa life jaket. |
mgeni rasmi akizungumza na washiriki pembeni ni mr mbwambo. |
washiliki wakijiandaaa. |
niumbali kama kilometa mbili ndiyo ilikuwa sehemu ya mzunguko. |
No comments:
Post a Comment