Friday, November 9, 2012

AGGREY MORRIS NAE STOP AZAM FC

CAPTAIN  WA TAIFA STARS AGGREY MORRIS AMESIMAMISHWA NA UONGOZI WA TIMU YA AZAM FC BAADA YA KUPATIKANA USHAIDI WA KWAMBA ALIUSIKA NA KUIUJUMU TIMU ILI KUFUNGWA KATIAKA  MCHEZO WA LIGI SOKA VODACOM TANZANIA BARA,AZAM IMEPATA VIELELEZO NA KUMPATIA KOCHA WAKE STEWART HALL NA KOCHA HUYO AMEAMULU MCHEZAJI HUYO KUONDOLEWA KIKOSINI KWANI  TEYALI ALIKUWA KATIKA MSAFALA WA TIMU MKOANIA TANGA KWAAJILI YA MCHEZO WA MWISHO DHIDI YA JKT MGAMBO MORRIS AMERUDISHWA DAR .

No comments:

Post a Comment