MWANAMUZIKI NGULI WA KONGO NA KIONGOZI WA WENGE BCBG AMESHA TUA DAR TEYALI KUFANYA SHOW KATIKA MIKOA YA MWANZA,ARUSHA NA DAR, KATIKA SHOW HIZO BAADHI YA WANAMUZIKI WAKIZAZI KIPYA WATAPANDA JUKWAANI AKIWEMO H BABA PIA BENDI YA MASHUJAA ITAFANYA UZINDUZI WA ALBAM YAKE MPYA , PICHANI JB MPIANA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR JANA |
No comments:
Post a Comment