Wednesday, November 7, 2012

TRA MARA YACHAPWA 2-1 NA WANAHABARI

chama la ushindi kabla ya kugawa dozzzz!
unapokuwa mwalimu wa timu lazima kuonyesha kama kweli uko pamoja na timu.

Mgeni rasmi alikuwa meneja wa tra mkoa wa mara akiwa na afisa michezo manispaa ya musoma mwenye shati jeupe mr shekdadi.
cales one baada ya kukabidhiwa kombe leo

No comments:

Post a Comment