Thursday, November 22, 2012

SUNZU KUBAKI SIMBA.

baada ya kulidhika na kiwango alichokionyesha katika laudi ya kwanza ya ligi soka vodacom bara uongozi wa wekundu wa msimbazi umeona kuwa ni bora kubaki na mzambia felix sunzu jr katika dulu la pili la ligi soka tanzania bara litakalo anza mapema january mwakani. sunzu ni mvhezaji pekee anayelipwa mshahara mkubwa katika timu zinazo shiliki ligi kuu ya vodacom tanzania bara tsh milion 5.
Di matteo aliyekuwa kocha wa chelsea ametimuliwa baada ya kuambulia kichapo cha 3-0 na juve,kutokana na halihiyo tajili wa timu hiyo bilionea wa kirusi Roman abramovich anatalajia kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa liverpool ambaye kwa sasa yuko abbudhabi na kocha huyo Rafael benitez  anatalajia kuwa nchini humo siku ya alhamisi kwa mazungumzo zaidi.
Rafael benitez anayetalajia kuwa kocha mpya wa chersea.
David cosmas kaachia ngoma mpya 'mama chunde'kazi iliyofanyika katika studio ya one love fx jijini mwanza chini ya producer tidd hotter.

No comments:

Post a Comment