Thursday, November 8, 2012

BIN ZUBEIRY: POULSEN AAMBIWA AMECHEMKA KUTOMUITA BARTHEZ STARS

kaka ndiyo maana kila timu inama kocha mkuu ambaye afundishi timu yoyote katika ligi ya nchi usika na lazima kunavigezo flani mfaume kasahau kwamba poulsen ameshakuwa  na bartez katika timu ya taifa so anamfa hamu vizuri na lazima katika uteuzi huo alimshilikisha marsh na juma pondamali hao ndo wasaidizi wake tunao wafahamu sio yeye, yeye kwanza  hanauzoefu na taifa stars katika ligi bartez kadaka mechi mbovu za yanga hatuwezi kuwa na makipa wa taifa wenye kimo kimoja kaka lazima tufuate history yetu zamani mfupi alikuwa ommry mahadhi mambosasa,pondamali,pazi,rifati walikuwa walefu so pousen kafanya poa dida mlefu na kaseja mfupi wote niwazuri kwenye penat ikitokea. 

No comments:

Post a Comment