Tuesday, November 13, 2012

TOT TAARAB YAPATA MSIBA

MWIMBAJI WA TOT TAARAB MARIAM KHAMIS AMEFARIKI DUNIA WAKATI ALIPOKUWA HOSPITAL YA MUHIMBILI AKIJIFUNGUA MTOTO AMBAYE AMETOKA SALAMA NA MAMA YAKE MARIAM AMEPOTEZA MAISHA MWIMBAJI HUYO ALITAMBA NA WIMBO WA PAKA MAPEPE ALIYO UIMBA AKIWA NA MELODY KABLA YA KUJIUNGA NA ZANZIBER STARS,FIVE STARS NA TOT BAADAE MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAALI PEMA PEPONI.
yanga sasa wanaelekea kumpa bye kipa wao mgana kutokana na wao kusema kuwa malingo yamekuwa ni mengi kwake baada ya kumpata bartez wanasahau ndiyo kipa bora wa msimu wao wa ubingwa swali bartez akiumia je itakuwaje?kama si kukwepa galama ya kumlipa kwani lazima wanamlipa mshahara tofauti na bartez.


No comments:

Post a Comment