Sunday, November 4, 2012

YANGA YAKAA KILELENI

baada ya kufunga bao la pili dhidi ya azam fc
kavumbagu akipachika bao la kwanza nakufikisha mabao 10 katika ligi kuu soka vodacom tanzania bara na kuifanya yanga kukaa kileleni kwa mala ya kwanza watani wao wa jadi simba walipoteza mchezo wao dhidi ya mtibwa suger ya marogoro kwa kufungwa mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment