katika wachezaji wanokumbukwa kila wakati ni method mogella mchezaji aliye kuwa kipenzi cha wanasimba enzi za akina azim deuji walipo kuwa katika mchuano mkali na hayati abbas gulamali akiwa mfadhili mkuu wa timu ya dar es salaam young afikan mogella alikuwa akihishi buguruni nyuma ya rozana karibu na jay ambe ukoo wao ulikuwa na vipaji vingi vya soka akiwemo firotel mogella na mogella mogella nasemahivyo kwani tulikuwa majilani mpaka kifamilia tulisoma nae katika shule ya msingi msimbazi boy miaka ya 80 mpaka sasa sifahamu filotel na nduguze wako wapi, wanasimba hawato sahau siku method alipo saini kuichezea yanga nakumbuka upinzani ulikuwa mkali sana kuinasa saini yake fundi huyu wa soka mwenyezi mungu ilaze roho yake mahali pema peponi. |
No comments:
Post a Comment