![]() |
weweeee tulia ndivyo anavyoonekana kusema andre wisdom wa liverlpool huku yuri zhirkov wa anzhi makhachkala akijalibu kumtoka katika kombe la ulaya. |
![]() |
christopher samba kulia akimtoka joe cole wa liverpool. |
![]() |
stooop!!!!! joa carlos akijalibu kumzia adam morgan wa liverpool . |
![]() |
![]() |
mfunaji wa goli pekee la mchezo huo licina traore na boussoff (6) mgongoni wakishangilia bao. |
![]() |
mtumzima traore akipachika bao kabla ya mapumziko. |
![]() |
cap same e'too na wenzake wakishangilia bao aliye nyoosha mikono juu ni lucina mfungaji wa goli. |
No comments:
Post a Comment