Thursday, November 1, 2012

VIPAJI VYA WANASOCER WA ZAMANI NA TIMU HAWA HAPA MARA NA DODOMA!!!

ni timu ya mkoa wa mara miaka ya 80 ikijianda na safari ya taifa cup arusha wachezaji wakijitolea mazoezini karume stadium kuanzia kushoto ni makumbi,hayati beki mkali aloyce goma,kabla ya golikipa jina sikulipapa nakipa ni nassibu,said rajabu,marehemu faustin kajima,abbuu nyaligo,joseph magoti,haji kimaro mussa msangi,mussa salum wa nyuma ya goli na mwisho kulia ni silvester marsh kacha wa taifa stars.
post ya kushoto ni silvester marsh chini ni makumbi katikati joseph magoti kulia ni mussa salum.
kulia silvester marsh kocha msaidizi wa taifa stars katikati abbuu nyaligo mwisho kipa nassibu angalia kwanyuma jinsi wanaume wanavyo jifua kwa kubeba mawe ni joseph magoti na hayati faustin kajima.
CDA dodoma watoto wa nyumbani hapo nawakumka wachache tu ambao ni kipa hayati ezlon mauma wa kwanza kulia na wa pili kutoka kushoto juu ni issa kiange kutoka chini wapili ni kocha wangu pascal ngambi ,amasha wa mpwapwa,isumaili wengine nimewasahau.

No comments:

Post a Comment