Tuesday, November 13, 2012

TAIFA STARS VS HARAMBEE STARS

pamoja asubuhi ya leo

samatta na ulimwengu wakiwa mazoezini ccm kirumba

kim akimpa vituzzz samatta

ngassa na wenzake wakipewa binu na kim kocha mkuu.

dider na juma k juma wakiwa mazoezini.

marsh akizungumza na wachezaji wa taifa sters baada ya mazoezi asubuhi ya leo
harambee stars wakiwa katika basi mara baada ya kuwasili jijini mwanza.

harambee stars wakiwasili katika hotel ya gng jijini mwanza.

teyali kwa mchezo na taifa siku ya jumatano.

No comments:

Post a Comment