kocha wa timu ya taifa stars na kilimanjaro stars ametajakikosi cha wachezaji 22 watakao unda timu hiyo ambayo inajiandaa na mashindano ya tusker challenge cup yatakayo fanyika hivi karibuni nchini uganda kikosi hicho kitacheza jijini mwanza na harambee stars katika mechi ya kirafiki iliyopo katika ratiba ya fifa wiki hijayo akiwataja wachezaji hao jijini mwanza leo hii makipa ni nahodha juma kaseja kutoka simba,deo munisi azam fc na mabeki ni kevin yondan wa yanga,agrrey maris na erasto nyoni wa azam fc,issa rashid wa mtibwa suger,nassor cholo,shomari kapombe,amir maftah wa simba.viungo ni salum abubakar sure boy,amri kiemba,mwinyi kazimoto,ramadhan singano messi,mrisho ngassa kutoka simba,athuman iddi chiuji,frank domayo wa yanga na shaban nditi wa mtibwa suger..washambuliaji ni john bocco adebayor azam fc,simon msuva yanga,christopher edward, simba,mbwana samata na thomas ulimwengu wa tp mazembe ya drc.pia amesema kuwa akuwachukua wachezaji kutoka zanzibar kwasababu nao watakuwa katika timu ya taifa ya zanzibar. | |
|
|
No comments:
Post a Comment