Monday, November 12, 2012

shommy b na pasco michael buyaga na wadau kibao wa soka.

mkuu wa gereza msaafu mr kanga akikagua timu za polisi mara na moran fc katika ligi soka daraja la jana katika uwanja wa karume polisi waibuka na ushindi wa mabao 3-1.

mwandishi wa gazeti la habari leo kulia na cales one mstari wa mbele waki fuatilia mchezo huo katika uwanja wa karume.
kocha wa moran fc na timu ya taifa ya 17 adolf richard akitoa maelekezo.
polisa mara

moran fc ya kiteto

timu zikiwa uwanjani kabla ya mchezo

No comments:

Post a Comment