Tuesday, November 13, 2012

BALIMI BOATRACE MUSOMA

nikatika maandalizi ya mashindano ya kupiga kasia yanayo endelea hapa mkoani mara hivi sasa ambapo show mbalimbali za promotion ya balimi katika bar,club na pub kikosi kazi cha TBL kikiwa kazini, ni kila mwaka kunawakati wa kusherehekea mavuno kwakufanyika mashindano ya kupiga kasia kila mkoa wa kanda ya ziwa kunakua na wawakilishi kwa wanaume na wanawake mwaka huu mkoa wa mara fainali ni siku ya jumamosi kuanzia saa 3.00 asubuhi katika viwanja vya bwalo la polisi washiriki wote wameombwa kujiandikisha kwa mr Pascal matiku anapatikana mwigobelo. 
mwaka huu mshindi wa kwanza kwa wanaume ni shilingi laki 8 tu na kwaupande wa kinamama ni shilingi kaki 6,washindi watatu kwa wanaume watawakilisha mkoa pia kwaupande wa kinamama pia watawakilisha mkoa pia.

No comments:

Post a Comment