bridgit alfred mwenye umli wa miaka 18 amefanikiwa kuwa miss tanzania mwaka 2012 katika shindano lililo fanyika jijini dar es salaam katika ukumbi wa blue pearl hotel uliopo ubungo plaza ,bridgit anatokea wilaya ya kinondoni jijini dar amejipatia kitita cha shilingi milion 8 na gari zuri la dhamani ambayo haikutajwa hapo ukumbini na mshindi wa pili alikuwa ni euegene fabian alijipatia shilingi milion 6.2 na watatu alikuwa ni eddah sylvester yeye alipata shilingi milion 4 wakati wengine 4 walipata milion 3 kila mmoja.
No comments:
Post a Comment