Wednesday, November 28, 2012

mazishi ya sharo milionea

mama mzazi
mjomba wa marehemu.
kitare na wasanii wengine.
mama mkubwa na ndugu na jamaaa
viongozi wa mkoa wa tanga na ndugu na jamaa

JB MPIANA NDANI YA TZ

MWANAMUZIKI NGULI WA KONGO NA KIONGOZI WA WENGE BCBG AMESHA TUA DAR TEYALI KUFANYA SHOW KATIKA MIKOA YA MWANZA,ARUSHA NA DAR, KATIKA SHOW HIZO BAADHI YA WANAMUZIKI WAKIZAZI KIPYA WATAPANDA JUKWAANI AKIWEMO H BABA PIA BENDI YA MASHUJAA ITAFANYA UZINDUZI WA ALBAM YAKE MPYA , PICHANI JB MPIANA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR JANA

gari la mwanamuziki sharo milionepicha

jinsi gari inavyo onekana swala la kufunga mkanda ni muhimu sana unapokuwa kwenye gari kwa usalama wako


picha kwa hisani ya millardayo.com

Tuesday, November 27, 2012

JOHN MAGANGA WAKATI WA MAISHA YAKE


Imeelezwa kuwa msanii huyu, alianza safari yake ya kuelekea umauti wakati akiwa katika harakati za kurekodi filam, ambapo alianza kujisikia vibaya na kupelekwa katika Hospitali ya Mwananyamala, ambako alipatiwa matibabu ya awali na kulazimika kufanyiwa upasuaji ambao kusababisha kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili. Kilisema chanzo cha habari hizi. 


JOHN STEPHANO- Enzi ya uhai wake
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa viongozi wa Wasanii zinasema kuwa Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwao Mwananyamala 'A'  jirani na Kopakabana Bar  jijini Dar es Salaam. Marehemu John anaetarajiwa kuzikwa leo jumanne katika Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.








*MWILI WA MSANII JOHN MAGANGA WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyamala, Dar es Salaam. Maganga amefariki dunia Jumamosi ya wiki iliyopita, katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua ghafla. John amezikwa leo katika Makaburi ya Kinondoni.

*MSANII WA KAOLE, MLOPELO AFARIKI DUNI, KUZIKWA LEO TMK


MSANII aliyepata umaarufu mkubwa enzi za Kaole ya ITV, Mlopelo, amefariki dunia jana mchana, kwenye hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia aliyejitambulisha kwa jina moja la Azizi, aliyeongea na tovuti ya Saluti5.com jana usiku, ni kwamba katika maisha yake yote, Mlopelo alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya mwili yaliyokuwa yakitulia na kuibuka tena hadi umauti ulipomfika.
Aziz, amesema mazishi yalipangwa kufanyika Temeke leo Ijumaa saa 4 na kwamba msiba uko Temeke Wailes mtaa wa Boko.

EVENT YA MWISHO YA MAREHEMU

ILIKUWA NI SHOW YAKE YA MWISHO KUIFANYA NA 5 SELEKT YA EATV MAENEO YA AGAPE SECONDARY SCHOOL YA JIJINI DAR SIKU YA IJUMAA TAR 23/NOV/2012.
HUSSEN RAMADHAN

best man mc lima


ilikuwa siku nzuri sana kwa mdau alipofunga ndoa kushoto ni lima alipokuwa best man.


KIFO CHA SHARO MILIONER


gari ya marehemu.

mwili wa marehemu ukiwa hospitalini tanga

enzi zake na makeke yake R.I.P Sharo


Monday, November 26, 2012

KILI STARS YAANZA VYEMA KAMPA

BENCH LETU LA UFUNDI
MAZOEZINI MAKERERE
HAPO NI KAZI TU HAKUNA MCHEZO

pci na mara press cluc ngoma drooo 3-3

cales one

timu ya pci

waandishi wa habari mara.




wadau wa pci

msemaji wa pci

shommy binda

dj lima mfungaji wa bao la pili la waandishi wa habari.

mh aloyce msemaji wa pci baada ya mechi kumalizika kwa 3-3 na waandishi wa habari.

Sunday, November 25, 2012

waganda waanza vyema

kifaa kipya cha azam fc huphrey mieno

kizito akishangilia bao pekee

Thursday, November 22, 2012

SUNZU KUBAKI SIMBA.

baada ya kulidhika na kiwango alichokionyesha katika laudi ya kwanza ya ligi soka vodacom bara uongozi wa wekundu wa msimbazi umeona kuwa ni bora kubaki na mzambia felix sunzu jr katika dulu la pili la ligi soka tanzania bara litakalo anza mapema january mwakani. sunzu ni mvhezaji pekee anayelipwa mshahara mkubwa katika timu zinazo shiliki ligi kuu ya vodacom tanzania bara tsh milion 5.
Di matteo aliyekuwa kocha wa chelsea ametimuliwa baada ya kuambulia kichapo cha 3-0 na juve,kutokana na halihiyo tajili wa timu hiyo bilionea wa kirusi Roman abramovich anatalajia kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa liverpool ambaye kwa sasa yuko abbudhabi na kocha huyo Rafael benitez  anatalajia kuwa nchini humo siku ya alhamisi kwa mazungumzo zaidi.
Rafael benitez anayetalajia kuwa kocha mpya wa chersea.
David cosmas kaachia ngoma mpya 'mama chunde'kazi iliyofanyika katika studio ya one love fx jijini mwanza chini ya producer tidd hotter.

Wednesday, November 21, 2012

watu poli!!!!!!!!!!!!

niyule mwanamziki nguli wa hip hop kutoka morogoro afande selle na koba mc wameachia ngoma mpya juzi inayokwenda kwa jina la 'amani na upendo' kazi hiyo imefanyika katika studio ya digital vibes chini ya producer g2 kama wewe ni mwana hip hop basi futalia kazi hii katika mitandao ya jamii utaipata.



TUZO ZA WANASOKA BORA

kampuni ya wazalendo ya bright media itaandaa tuzo za mwanasoka bora wazalendo dec 30/2012.