warimbwende wa redds miss tanzania wamengia kambini baada ya kufanyika mashindano ya kila mikoa ya tanzania na kupata washindia wa kila kanda wameanza kambi jijini dar ili kumpata redds miss tanzania ambaye atakwenda kuwakilisha tanzania na afrika hapo baadae warembo hao wamesema kwa nyakati tofauti kuwa wanajiamini na watafanya vizuri. |
No comments:
Post a Comment