Aliyekuwa mgombea ubunge mwaka 2010 viti maalum mkoa mara na kushindwa kwa kura 4 na Mh Rose kiligini ameibuka kidedea baada ya kumbwaga mbunge wa afrika mashariki Mh shyros bhanji katika nafasi ya ujumbe wa baraza kuu taifa UWT mkoa wa mara, kabra ya nafasi hiyo kuipata alichaguliwa kuwa mjube wa mkutano mkuu taifa akitokea wilaya ya rorya Mh Agines mathew marwa amepata kura 274 na shyros kura 249 tu shangwe na ndelemo zilifumuka ukumbini hapo katika ukumbi wa makao makuu ya CCM mkoa mara musoma mjini.
CHRISTINA SAMO amechaguliwa kuwa mjumbe wa mkutano mkuu taifa na mjumbe wa Halimashauri kuu ccm wilaya ya musoma mjini.
No comments:
Post a Comment