ni kweli epiq bongo star search inawapika vijana wa bongo kwasababu nilivyo waona wakati wanaanza na sasahivi kuna bonge la tofauti, wiki iliyo pita kulikuwa na makundi 3 na kila kundi lilikuwa na washiriki 3 na jaji wao nilichoweza kukiona na kugundua nikwanba majaji walikuwa wako sawa kwakila mtu au mshiliki anaye fanya vizuli nafikili hata wewe unaweza kuona kuwa ilikuwa nivigumu sana kumtoa mtu siku hiyo ikabidi wote waendelee lakini katika makundi 3 naweza kutoa mawazo yangu ya kuwa kundi la master j kuna vichwa viwili yule dada wa zanziber na mshikaji mwenye utege kwa madam ritter ni yule dem na mshikaji aliyeimba kama diamond na salama ni yule alieimba kama jay dee,wengine sio wabaya labda ni kutonaka na wimbo alio kuwa amechaguliwa kuto pata muda wa kutosha kwa mazoezi hayo ni mawazo yangu sijui wewe kama mdau wa muziki. |
No comments:
Post a Comment