Thursday, October 25, 2012

bobban tena na juma nyosso!!!!!

juma nyosso apewa kibalua cha kufanya mazoezi na matola simba b ilikujiwka sawa kutokana na kuwa na makosa mengi katika mechi za simba na kuipa kazi ya kusawazisha mabao na kufanya faulo za apanapale kwaupande wangu ni kwamba taitizo sio kiwango kushuka bali ni kutokuwa na mapumziko ya kutosha kwani wakati mwingine timu ya taifa na ligi ya mabingwa bila mapumziko, kuusu boban huyo ndivyo alivyo na kulewa sifa kweli ni mchezaji mzuli na mwenye uzoefu lakini kwa kosa la ndondo atua zichukuliwe sio kumsimamisha tu anatakiwa kipigwa faini.


mabingwa wa soka afrika mashariki na kati kwamala nyingine tena wameendelea kupata ushindi katika uwanja wa taifa na kujiweka katika nafasi ya 3 ya msimamao wa ligi soka vodacom tanzania bara wakiwa nyuma ya simba kwa point 3 na azam fc kwa point 1 huku timu ya azam fc ikitoka suru na ruvu shoting katika uwanja wake wa chamaze jijini dar.








No comments:

Post a Comment