Wednesday, October 3, 2012

BASI LIKIWAKA MOTO

Basi la kampuni ya Dar express limewaka moto wakati likiwa safarini kutoka Dar kwenda kilimanjaro lilipo fika maeneo ya segera lilipata itilafu ya umeme gafla lilianza kuwaka moto, katika mkasa huo akukua na majelui yoyote lakini mizigo yote ya abilia iliteketea kwa moto.

No comments:

Post a Comment