Wednesday, October 3, 2012

USIKU MNENE WA AFRIKA MASHARIKI

wa kwanza ni yuleyule deejay davy ranks akiwa katika makamuzi na wazee wa kazi kisumu
Cchriss darling papa chally of the king lion sound akiwa live ndani ya frorida 2000 Nairobi katika bonge la gigi jijini humo.

juakali anapofanya makamuzi somchezoooo!!!

Deejay p chratcher uliza wa hiyo ?


Omega sound power kisumu kenya

No comments:

Post a Comment