Kila mwaka fiesta inakuwepa mara moja na kila mwaka sataili inabadilika kwa misemo ya kila haina na hitimisho linakuwa dar mwaka huu ni bhaassssss msanii atakaye kuwepa ni rick rose kutoka mbele yani marekani kilasiku pj ,hando na babra asubuhi utasikia ho! ho! naambiwa kiingilio ni 20,000 na 25,000 tu. |
No comments:
Post a Comment