Sunday, October 21, 2012

FRANCES CHEKA KUPAMBANA NA MJERUMANAI

francis cheka

benjamin simon wa ujerumani
novembar 18 mwaka huu bondia wa tanzania fancis cheka atakuwa katiak mpambano wa ngumi za kimataifa nchini ujerumani katika kugombea mkanda wa IBF dhidi ya mbabe wa ujerumnai benjamin simon nchezo huo utafanyika katika ukumbi wa universal mjini berin nchini humo,teyali cheka amesha saini mkataba wa kupambana na mpinzani huyo wa ujerumnai ambaye takwimu zinaonesha kuwa amecheza mechi 24 na kupoteza mmoja tu wakati bondia cheka wa tanzania amecheza michezo 33 na kupoteza 6 tu,

Hili litakuwa pambano la kwanza baina ya wababe hao wakiwania taji la IBF la mababara,mshindi katika pambano hilo ataingia moja kwa moja katka olodha ya mabodia 15 bora wenye uzito wa super middle duniani.

No comments:

Post a Comment