Friday, October 12, 2012

HASHEEM THABEET KIWANGO JUUU

hasheem thabeet mchezaji wa kikapu anayechezea timu ya oklahoma city thunder ya nchini marekani hivi sasa kiwango chake kimeongezeka katika timu yake hiyo baada ya kuifungia timu yake hiyo pointi 10 ndani ya dakika 14 hivi karibuni kwa mujibu wa taalifa za mitandao mbalimbali ya jamii imeeleza kuwa sasa hivi ameongezewa mkataba wa muda mlefu baada ya kumaliza mkataba wa muda mfupi.

No comments:

Post a Comment