Friday, October 5, 2012

AGINESS MATHEW MJUMBE ALMASHAULI KUU TAIFA CCM

Baada ya kukosa ubunge vitimaalum mkoa wa mara hatimaye achaguliwa kuwa  mjumbe wa almashauli kuu taifa kutoka wilaya mpya ya Butiama mara asema kuwa akimama tunaweza kumbuka wakati wa uchaguzi mkuu alizidiwa kura 4 na Mh Rose kirigini.


kazini


No comments:

Post a Comment