Saturday, October 20, 2012

TP MAZEMBE LEO WATAFANYA KWELI MJINI TUNISIA?

timu za t p mazembe ya congo zaire na esperence ya tunisia zita pambana leo mjini tunis katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya mabingwa barani afrika kumbuka katika mchezo wa kwanza uliyo chezwa nchini congo jijini kinshasa timu hizo zilitoka sare bila kufungana kwahiyo mchezo wa leo utakuwa mgumu na ushindani wa hali ya juu.

No comments:

Post a Comment