Sunday, October 21, 2012

KANGA MOKO WABADILI MITINDO

mtindo huu unaitwa najipimia au!!!!!!!!!!


utajiju!!!!!!!!!!

kama kawa!!!!!


live bila chenga!!!!!!!!!


katika kuhakikisha mambo yanamabadiliko mmoja kati ya vikundi vya kanga moko hapa nchini tanzania kimebadili mtindo wa kuonyesha ukataji kiuno katika miondoko ya pwani kwa kuamua kusaula nguo na kubaki na nguo moja ya ndani ilimladi kuhakikisha watu wanakuwa katika msisimko flani wanapo kuwa katika club za burudani.

mabingwa wa afrika mashariki dar young african wamekabiziwa jezi mpya na madhamini wa ligi kuu ya vpl tanzania bara baada ya madai yao kukubaliwa ya kuto vaa jezi yenye nembo ya langi nyekundu kama ilivyo nembo ya kampuni ya simu za mkononi ya vodacom pichani ni salim mwalimu meneja usiano ya nje wa vodacom.

No comments:

Post a Comment