Tuesday, October 30, 2012

shommy b akimsikiliza mwenyekiti wa mrpc katika kongamano lililo fanyika jana.
wapiga picha wakiwa kazini kuchukua matukio.
ras wa mkoa wa mara akifungua mkutano kati ya wadau na wahandishi wa habari mkoa wa mara.
rpc wa mara naye kama mdau akitoa tamko katika kongamano hilo.
mr banzi kutoka mct makao makuu akitoa mada katika kongamano hilo.
kamanda g marato akitoa busara zake.
dr mwakyembe akizindua usafiri wa treni jiji dar
baada ya kupata maumivi ya goti nsa job sasa kutibiwa nchi india hivi karibuni.

AZAM KAMA YANGA YATIMUA COACH WAKE

coach wa azam atimuliwa baada ya kichapo cha bao 3-1 dhidi ya mabingwa wa tanzania simba sc badala yake ni nani?
lione messi yumo katika orodha ya wachezaji wanao wania ballon d"or wakati teyali amesha jinyakulia kiatu cha dhaabu, mpaka sasa amesha funga mabao 50 katika ligi nchini humo akiwa katika timuyake ya barcelona msimu uliopita.


cheche za dr mwakyembe zaanza trl azindua usafiri wa treni dar pichani ni wakati wa uzinduzi huo.






mrpc wamaliza tofauti na jeshi la polisi baada ya kugundua tatizo lipo wapi wa kwapamoja wakubali yaishe,

bahamuzi na yondani waanza kazi baada ya kupona majelaa dr wa jangwani asema luksa kupangwa katika ligi kuu bara.

Thursday, October 25, 2012

POLISI MARA YAANZA VIBAYA LIGI DARAJA LA PILI

coach wa timu ya pamba ya mwanza akizungumza na wanahabari jijini katika uwanja wa ccm kirunba baada ya timu yake kuibika na ushindi wa mabao 3-2.


hafidh salim coach wa timu ya polisi mara baada ya mchezo asema wachezaji wake walipaniki na kutoelewana.

bobban tena na juma nyosso!!!!!

juma nyosso apewa kibalua cha kufanya mazoezi na matola simba b ilikujiwka sawa kutokana na kuwa na makosa mengi katika mechi za simba na kuipa kazi ya kusawazisha mabao na kufanya faulo za apanapale kwaupande wangu ni kwamba taitizo sio kiwango kushuka bali ni kutokuwa na mapumziko ya kutosha kwani wakati mwingine timu ya taifa na ligi ya mabingwa bila mapumziko, kuusu boban huyo ndivyo alivyo na kulewa sifa kweli ni mchezaji mzuli na mwenye uzoefu lakini kwa kosa la ndondo atua zichukuliwe sio kumsimamisha tu anatakiwa kipigwa faini.


mabingwa wa soka afrika mashariki na kati kwamala nyingine tena wameendelea kupata ushindi katika uwanja wa taifa na kujiweka katika nafasi ya 3 ya msimamao wa ligi soka vodacom tanzania bara wakiwa nyuma ya simba kwa point 3 na azam fc kwa point 1 huku timu ya azam fc ikitoka suru na ruvu shoting katika uwanja wake wa chamaze jijini dar.








Wednesday, October 24, 2012

GM MAGIC SOUND !!!!!

jipatie used tv na mpya music system,cd,dvd,mic za kila haina spea mbalimbali za music system,disco mashine za kila aina denon.pioner n.k spiker za disco za kila aina kwa maelezo zaidi cheki nao kwa namba zao hapo juu.

EPIQ BONGO STAR SEARCH INABAMBA SANA

ni kweli epiq bongo star search inawapika vijana wa bongo kwasababu nilivyo waona wakati wanaanza na sasahivi kuna bonge la tofauti, wiki iliyo pita kulikuwa na makundi 3 na kila kundi lilikuwa na washiriki 3 na jaji wao nilichoweza kukiona na kugundua nikwanba majaji walikuwa wako sawa kwakila mtu au mshiliki anaye fanya vizuli nafikili hata wewe unaweza kuona kuwa ilikuwa nivigumu sana kumtoa mtu siku hiyo ikabidi wote waendelee lakini katika makundi 3 naweza kutoa mawazo yangu ya kuwa kundi la master j kuna vichwa viwili yule dada wa zanziber na mshikaji mwenye utege kwa madam ritter ni yule dem na mshikaji aliyeimba kama diamond na salama ni yule alieimba kama jay dee,wengine sio wabaya labda ni kutonaka na wimbo alio kuwa amechaguliwa kuto pata muda wa kutosha kwa mazoezi hayo ni mawazo yangu sijui wewe kama mdau wa muziki.

Tuesday, October 23, 2012

TWANGA YAZINDUA FACE BOOK

bin zubeiry akiwa na baraka msiwa









Bendi ya twanga pepeta ikiwa katika uzinduzi wa face book

Sunday, October 21, 2012

FRANCES CHEKA KUPAMBANA NA MJERUMANAI

francis cheka

benjamin simon wa ujerumani
novembar 18 mwaka huu bondia wa tanzania fancis cheka atakuwa katiak mpambano wa ngumi za kimataifa nchini ujerumani katika kugombea mkanda wa IBF dhidi ya mbabe wa ujerumnai benjamin simon nchezo huo utafanyika katika ukumbi wa universal mjini berin nchini humo,teyali cheka amesha saini mkataba wa kupambana na mpinzani huyo wa ujerumnai ambaye takwimu zinaonesha kuwa amecheza mechi 24 na kupoteza mmoja tu wakati bondia cheka wa tanzania amecheza michezo 33 na kupoteza 6 tu,

Hili litakuwa pambano la kwanza baina ya wababe hao wakiwania taji la IBF la mababara,mshindi katika pambano hilo ataingia moja kwa moja katka olodha ya mabodia 15 bora wenye uzito wa super middle duniani.

KELL BROOK (26) AMTWANGA HECTOR SALDIVIA








kell brook wa uk amemchapa hwcter saldivia mwargentina ilikuwa katika raund ya tatu ya mpambano huo ulio chezwa jana katika ukumbi wa motorpoint areana uliopo katika mji wa sheffield,