katika kumaliza mwaka 2012 katika manispaa ya musoma kutakuwa na uzinduzi wa club mpya inayojulikana kama signature club na uzinduzi huo the track masters dj ambao ni dj cales one.dj young lima na dj chibaland wakiwa na up coming djs wa musoma djs mapo na dj chriss watakuwa katika jukwaa moja katika mpango mzima uo wasanii watakao tawala jukwaa kuu ni pamoja na ney wamitego,best nasso na side boy sambamba na wasanii wa mkoa wa mara pia show hiyo itaanza usiku wa saa 2.00 za usiku. |
No comments:
Post a Comment