Monday, December 10, 2012

bonge la kipa kutua leo

kipa wa timu yataifa aja kumalizana na simba dar leo kwa mujibu wa kiongozi wa ndani ya simba maandalizi yote ya kumpokea dhiaira yamekamilika ikiwa ni maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi soka vodacom tanzania bara na mashindano ya club bingwa afrika anakuja kuungana na waganda emmanuel okwi.

No comments:

Post a Comment