Sunday, December 9, 2012

MATUKIO YA CECAFA UGAND

CECAFA YAFANYA MADUDU YA MILENIA TUZO YA MFUNGAJI BORA CHALLENGE

\



WAFUNGAJI CECAFA TUSKER CHALLENGE 2012
John Bocco                   Tanzania 5
Mrisho Ngassa              Tanzania 5
Robert Ssentongo         Uganda   4
Brian Umony                 Uganda   3
Khamis Mcha                Zanzibar  3
Suleiman Ndikumana    Burundi   3 (1 penalti)
Chris Nduwarugira        Burundi   3
Geoffrey Kizito              Uganda   2
David Ochieng              Kenya      2
Clifton Miheso               Kenya      2
Dadi Birori                     Rwanda   2
Mike Barasa                  Kenya      2

dhaira asema yeye na simba bado hawaja malizana lakini anatamani sana kufanya kazi na wekundu.






kaseja ilibidi afanye kazi ya ziada kuzuia michomo yakina hamisi mcha na wenzake, kwani makosa na uzembe wa mabeki wa kili ndiyo yalitufanya tufungwe mabao mengi na uganda  kwani safu ya ulinzi haikuwa makini kumpa ushirikiano kaseja. nilidhani katika mechi ya zanziber pengine ilikuwa ni siku ya deo munisi dida kuonyesha uwezo wake.

hassan wasswa na mabeki wa kenya

cannavaro akiwa kazini

raha tupu kampala

chiuji alionyesha kwamba ukubwa dawa japokuwa combination kidogo ilikuwa tata tofauti anapocheza na niyonzima wakiwa jangwani.

ilikuwa ni full shangwe kwa mwalimu wa wazenji hao kwani alitangaza kuto kaa katika bench la ufundi lakini akabadili mawazo na kukaa ili kuwapa hamasa vijana wake

No comments:

Post a Comment