Saturday, December 8, 2012

KILI STARS WAJIFUA HOTELINI KAMPAL


katika kujiandaa na gem yao dhidi ya zanziber kili wamefanya mazoezi pesi asubuhi ya leo

kocha kim akiongoza mazoezi

ngassa kaseja dumayo

hoopsss !!!!!! adhuman iddi,kaseja
rich mavoka katika kumaliza mwaka ametoka na kitu kipya ( one time) tafuta katika mitandao ya kijamii.
shetta nae kutoka na bonge la bwana

katika kuazimisha miaka 13 ya cloud media boge la show litafanyika katika viwanja vya liders club baada ya wiki mbili zilizopita kulikuwa na ujiowa jb piana kawiyo siku ya 14/12/2012 koffi atasidikizwa na mapacha watu na twanga pepeta katika wiki ya miaka 13 ya people station clouds fm.

No comments:

Post a Comment