MAFANIKIO YA ZLATAN 2012
JINA LA ZLATAN LAONGEZWA KATIKA KAMUSI YA SWEDEN
2012 - umeendelea kuwa mwaka mzuri kwa
Zlatan Ibrahimovic, baada ya kupata mafanikio ya uwanjani na kiuchumi
sasa jina lake limeongezwa katika kamusi ya kisweden na taasisi
inayoshughulikia lugha nchini Sweden - Neno 'Zlatanera' lenye maana ya
Zlatan au 'kutawala' limeongezwa katika kamusi rasmi ya Sweden.
Hii imekuja kama kumtunuku mchezaji huyo
ambaye amekuwa akiletea sifa nchi hiyo ndani na nje ya nchi hiyo kwa
miaka takribani 10 sasa.
Neno 'Zlatanera' limetokana na neno la
kifaransa 'zlataner' lenye maana ya kutawala, hivyo wasweden
wakalinyambua na kuongeza herufi 'a' katika 'zlataner'
No comments:
Post a Comment