inadaiwa mapenzi yao yalianza kitambo wakati binti huyo akiwa kidato cha tatu lakini wakati huo pemzi lao lilikuwa la kawaida tu, kwani wababa alikuwa bado hajawa super star na hakuwa vizuri kifetha na heshima kwa jamii ilikuwa bado haimjui wababa. lakini mara tu baada ya kuchukua kifuta jasho cha bss na kupata wadau kibao wa muziki wa bongo flaver na show kadhaa hivyo kuwa na kiburi akampa mimba denti huyo ambaye aligundulika na wazazi lakini wao walitoa ujauzito huo (mimba). wazazi wa binti huyo walipata taalifa kuwa binti yao ametoa mimba na wababa alikamatwa na polisi na kuwekwa ndani kwa muda wa siku mbili. mpaka sasa kesi inaendelea huku wazazi wakiapa kumfunga wababa wakati huo huo binti huyo ametoweka na mpaka sasa ajulikani alipo. |
No comments:
Post a Comment