Tuesday, January 8, 2013

Kipaji na uwezo wake vimeipa Barcelona mtindo na mfumo mzima wa soka linaloonekana Camp Nou. 
Messi ana uwezo wa kuamua matokeo ya michezo kwa uwezo wake mwenyewe pasipo kutumia nguvu nyingi tofauti na wachezaji wengi. Kama tuzo ya Ballon D'or ni utambulisho wa mchezaji bora kwa uwezo binafsi basi Messi anastahili kupewa tuzo hii kwa mara nyingine. Hata hivyo haya yote yanakuja kwa gharama ya mafanikio ya timu ya Barcelona 


 

No comments:

Post a Comment