Wednesday, September 26, 2012

DELEVA MZEMBE ASABISHA AJALI MUSOMA

papala za deleva mmoja zimesababisha ajali baada ya kuwa katika mwendo wa kasi maeneo ya mwisenge karibu na mashine ya kusaga nafaka, kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo katika eneo hilo ni kwamba gari lilikuwa linatokea mjini likiwa linaelekea makoko baada ya kumaliza barabara mpya ya lami na kuingia katika barabara ya vunbi huku likiwa katika mwenda wa kasi daleva wa gari hilo aina ya pick cup ford mali ya serikali aliyumba na kuwapitia wanafunzi watatu waliokuwa  wanakwenda shule na kusababisha majelui makubwa kwa watoto hao wa shule mpaka sasa atujapata taalifa sahii kuhusu wanafunzi hao.

No comments:

Post a Comment