Wednesday, September 26, 2012

kila siku ya jumapili watu huwa wanakwenada kinesi wilayani rolya kutembea na inapofika mida ya saa 12 jioni wanaludi mjini kwani ndiyo muda wa kupaki felihiyo kiukweli serikali imetimiza ahadi waliyoitoa nauli ni 400 kwa mtu mzima na mtoto 100 piki piki 1000 magari madogo 5000 mbuzi 100 na ng"ombe 100

DELEVA MZEMBE ASABISHA AJALI MUSOMA

papala za deleva mmoja zimesababisha ajali baada ya kuwa katika mwendo wa kasi maeneo ya mwisenge karibu na mashine ya kusaga nafaka, kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo katika eneo hilo ni kwamba gari lilikuwa linatokea mjini likiwa linaelekea makoko baada ya kumaliza barabara mpya ya lami na kuingia katika barabara ya vunbi huku likiwa katika mwenda wa kasi daleva wa gari hilo aina ya pick cup ford mali ya serikali aliyumba na kuwapitia wanafunzi watatu waliokuwa  wanakwenda shule na kusababisha majelui makubwa kwa watoto hao wa shule mpaka sasa atujapata taalifa sahii kuhusu wanafunzi hao.

Saturday, September 22, 2012

KUMBE BALLOTEL ANAKULA FEGI!!!!!!!!

akiwa na waubani wake wana pata moja moja  je?bongo inawezekana kila mchezaji akakaa home kwake sio kukaa kambini kama alivyo taka mtakatifu wa yanga kazi ya kocha sio kulinda wachezaji ni kufundisha mpira tu kweli au sio kweli?

Wednesday, September 19, 2012

Dir pambano wa musoma video production akisimamia video ya I ddi com

Maandalizi ya kazi kwa mapozzzzz  ya idi com na wadau ndivyo yalivyo kuwa
jamaa kalamba gari la SBL morogoro
dir pambano akiwa chini ya usimamizi wa producer Ommy runner ambaye ndiyo aliye tengeneza track ya iddi com.inayo itwa TEMPTED TO TOUCH.

ABDALA NYAGANYA ( CHIKAKA )

Msanii wa kizazi kipya yupo njiani kutoa video yake hivi kalibuni

Tuesday, September 18, 2012